Habari Wakuu,
Taarifa ninawafikishia kama nilivyiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulid Kitenge.
Si mikataba yote inapovunjwa basi aliyevunja analipa gharama, kuna mingine huvunjika baada ya kufikia makubalino na "mfanyakazi" halipwi chochote au analipwa kidogo kidogo.Unadhani watamlipa nini. Club za kibongo kuzishabika sometimes zinahitaj uwe mental kidgo
Lakini Katibu Mkuu si alienda pamoja na mashabiki wenzetu kaka!! Kulikuwa na ulazima wa Hans kwenda?NIKWELI KWA SABABU YEYE NDO AMESABABISHA YANGA IFUNGWE NA SIMBA. LAKINI JUU YA YOTE HUYU BABU ALIKATAA KYONGOZANA NA MASHABIKI KWENDA KUMUANGALIA MANJI WAKATI AKIWA SERO..HII KWA KWELI IMETUUZI SANA HIVYO LAZIMA ATIMULIWE
Maoni yako ni yapi kuelekea mechi za Klabu Bingwa Afrika, tutegemee nini msimu huu?
Nakubaliana nawe mkuu. Msimu hii tia maji tia maji sana.Kwa kweli timu yetu sio nzuri ,mwaka jana tulikuwa ok ingawa ngazi ya makundi tulichemsha. Mwaka huu hata makundi tukifika itakuwa maajabu mkuu.
Si mikataba yote inapovunjwa basi aliyevunja analipa gharama, kuna mingine huvunjika baada ya kufikia makubalino na "mfanyakazi" halipwi chochote au analipwa kidogo kidogo.
Shukrani mkuu, nimekuelewa sasa. Kuna wakati nilienda kwenye mechi ya Taifa nikakaa pembeni Saleh Jembe, wakati mechi inaendelea tukaanza kubishana na jamaa mwingine aliyekuwa amekaa pembeni ya Saleh Jembe, nikamuona mtupu tu. Baadae nakuja kuambiwa ni Afisa Masoko wa Yanga. Hilo likanitatiza kidogo, Afisa Masoko huyu anafanya nini Yanga mbona sioni chochote kinachofanywa kuingiza mapato?Hujaelewa point yangu. Hoja yangu n kwamba lazima wamfukuze Pluijm kwa sabab pesa za kumlipa mshahara watatoa wap maana boss wao yupo korokoroni...hii n kwa sabab club hazina investment zozote za kuzifanya zijiendeshe bila kutegemea pochi ya mtu binafsi
Nakubaliana nawe mkuu. Msimu hii tia maji tia maji sana.
Hili la timu kwenda Zambia kwa Gogo lina ukweli?
Shukrani mkuu, nimekuelewa sasa. Kuna wakati nilienda kwenye mechi ya Taifa nikakaa pembeni Saleh Jembe, wakati mechi inaendelea tukaanza kubishana na jamaa mwingine aliyekuwa amekaa pembeni ya Saleh Jembe, nikamuona mtupu tu. Baadae nakuja kuambiwa ni Afisa Masoko wa Yanga. Hilo likanitatiza kidogo, Afisa Masoko huyu anafanya nini Yanga mbona sioni chochote kinachofanywa kuingiza mapato?
Sio kweliNakubaliana nawe mkuu. Msimu hii tia maji tia maji sana.
Hili la timu kwenda Zambia kwa Gogo lina ukweli?