Yanga yaachana na Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Pluijm

Yanga yaachana na Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Pluijm

1. alisababishaje YANGA IFUNGWE ongea kitaalamu
2. soni kosa kama hakutaka kwenda kumsalimia manji selo. kwan mkataba wake unasema kuwa ikiwa manji ataenda selo au ataumwa ni lazima aende na mashabiki kumsalimia?
Ninyi watu wengine hamna akili kabisa ...yaani hoja zenu ni za kiteja kabisa... mkikaa pale nje ya jengo mnatoa maudenda tu mnadhan wote wanawaza kiteja? acheni ujinga huo. sasa mmekuwa alosto mnafukuza tu makocha kwa sabab za kichimba chumvi. pluijm ni kocha mzuri kuliko hilo bonge lwandamina. kweli nawaambia. sasa nyie leteni akili zenu za kiteja tu....

NIKWELI KWA SABABU YEYE NDO AMESABABISHA YANGA IFUNGWE NA SIMBA. LAKINI JUU YA YOTE HUYU BABU ALIKATAA KYONGOZANA NA MASHABIKI KWENDA KUMUANGALIA MANJI WAKATI AKIWA SERO..HII KWA KWELI IMETUUZI SANA HIVYO LAZIMA ATIMULIWE
 
17098589_1507086726000522_5844711297093070120_n.jpg
 
Ishu sio kufungwa na Simba bali wameona mzigo kumlipa maana mlipaji mwwnyewe amelala hospitali
Kwan akilala hospitali vyanzo vya pesa ya kumlipa navo vimelala nae hospitali?
Si mikataba yote inapovunjwa basi aliyevunja analipa gharama, kuna mingine huvunjika baada ya kufikia makubalino na "mfanyakazi" halipwi chochote au analipwa kidogo kidogo.
 
“Nimepewa barua asubuhi hii na yanga juu ya mkataba wangu kuwa umesitishwa, kikubwa walichokisema ni kuwa klabu kwa sasa inakabiliwa na ukata hivyo hawana uwezo wa kuendelea kunilipa.

“Kwa sasa nipo huru kujiunga na klabu yeyote itakayoonyesha nia na mimi basi nitafanya nao kazi” - Hans Van Pluijm



View attachment 476453


Huyo Mzungu sasa hivi tutaanza kuuza nae Matembele huku mitaani.
 
Ishu sio kufungwa na Simba bali wameona mzigo kumlipa maana mlipaji mwwnyewe amelala hospitali

Na anaweza pia asiamke leo wala kesho wala mtondogoo. Kuna hatari Wachezaji wa Yanga wakaianza safari yao ya kwenda Morogoro kwa miguu usiku huu huu kujiandaa na mechi yao ya Jumapili dhidi ya Mtibwa Sugar.
 
Back
Top Bottom