OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu.
Ila Yanga, baadae tutasikia Okra kaenda FIFA
Ila Yanga, baadae tutasikia Okra kaenda FIFA