Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kuna wachezaji wanaletwa pale kwa ajili ya kamati ya ufundi tu na sio kwa ajili ya game ndani ya uwanja,,,,,,,hujawahi kusikiaga ishu za kwenye mpira watu wanaingiza timu uwanjani halafu masela wanasema hatukua tunacheza na binadamu, tulikua tunacheza na majini😀😀😀😀,hizi timu kuna wachezaji wanaangaliwagwa nguvu ya nyota zao tu hata akikaa benchi hakuna hasara, anakua resource ya kamati ya ufundiMkude yule mwanetu, huyu kitakachomponza ni hayo makelele yenu na matusi vinginevyo naye hatuna deni naye.