Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kuna wachezaji wanaletwa pale kwa ajili ya kamati ya ufundi tu na sio kwa ajili ya game ndani ya uwanja,,,,,,,hujawahi kusikiaga ishu za kwenye mpira watu wanaingiza timu uwanjani halafu masela wanasema hatukua tunacheza na binadamu, tulikua tunacheza na majini😀😀😀😀,hizi timu kuna wachezaji wanaangaliwagwa nguvu ya nyota zao tu hata akikaa benchi hakuna hasara, anakua resource ya kamati ya ufundiMkude yule mwanetu, huyu kitakachomponza ni hayo makelele yenu na matusi vinginevyo naye hatuna deni naye.
Maandano ya Mangungu lini
Mchezaji kudai haki yake imekuwa kosaMaandano ya Mangungu lini
Hizo ni habari za kufikirika lakini hazina nafasi kwenye modern football.Kuna wachezaji wanaletwa pale kwa ajili ya kamati ya ufundi tu na sio kwa ajili ya game ndani ya uwanja,,,,,,,hujawahi kusikiaga ishu za kwenye mpira watu wanaingiza timu uwanjani halafu masela wanasema hatukua tunacheza na binadamu, tulikua tunacheza na majini😀😀😀😀,hizi timu kuna wachezaji wanaangaliwagwa nguvu ya nyota zao tu hata akikaa benchi hakuna hasara, anakua resource ya kamati ya ufundi
Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu.
Ila Yanga, baadae tutasikia Okra kaenda FIFA
Hasara ya kujitakiaKihasibu usajili wake ni hasara.
Unajua vipengere vyote vya mkataba wake? viweke hapa tuvisome tujue ulikuwa mkataba wa miaka mingapi na thamani yake ni ipi. Ujijeluta alikuwa na mktaba wa miezi sita na sasa imekwishaTuwe tu wakweli. Huu usajili wa Okrah ulikuwa ni wa kukurupuka. Na wasipomalizana naye mapema, lazima klabu itafungiwa. Maana walimsaini kwa pesa nyingi mpaka inashangaza!
Ule mkwara wako sijui utampiga mitama Mangungu umeishia wapi?Mchezaji kudai haki yake imekuwa kosa
Kwani mkataba wa miezi 6 haulipwi consideration?Unajua vipengere vyote vya mkataba wake? viweke hapa tuvisome tujue ulikuwa mkataba wa miaka mingapi na thamani yake ni ipi. Ujijeluta alikuwa na mktaba wa miezi sita na sasa imekwisha
Watu masikini mnaogopa kudaiwaOkra anawadai lkn club aliyotoka pia inawadai...msimu huu mmelipa madeni yanayotosha kushusha vyuma zaidi ya vinne mabwabwa kweli nyinyi
Kabisa mkuuHasara ya kujitakia
Ndio kazi ya FIFA hio sasa timu inacheza shirikisho ishitakiwe kwa lipi?Haijawahi kutokea uto imalize mwaka bila kupelekwa FIFA.