Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Jul 5, 2024 #41 ukikaidi utapigwa2 said: Ule mkwara wako sijui utampiga mitama Mangungu umeishia wapi? Click to expand... Namuonea huruma Chama ameenda Club ambayo kulipwa mshahara wake ni mpaka aende FIFA.
ukikaidi utapigwa2 said: Ule mkwara wako sijui utampiga mitama Mangungu umeishia wapi? Click to expand... Namuonea huruma Chama ameenda Club ambayo kulipwa mshahara wake ni mpaka aende FIFA.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Jul 5, 2024 #42 Scars said: Namuonea huruma Chama ameenda Club ambayo kulipwa mshahara wake ni mpaka aende FIFA. Click to expand... sawa vp kuhusu Mangungu tunae tena?
Scars said: Namuonea huruma Chama ameenda Club ambayo kulipwa mshahara wake ni mpaka aende FIFA. Click to expand... sawa vp kuhusu Mangungu tunae tena?
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Jul 5, 2024 #43 Simba yaendelea na Kibu baada ya kufunga goal 1.
BuDDaH MBiSHi JF-Expert Member Joined Jan 14, 2021 Posts 468 Reaction score 495 Sep 29, 2024 #44 Hahahaha.... Mwasibu ulikua sawa, kikowapi sasa wamlipe na faini juu au wale ban ya misimu 3 mfululizo kutokusajili.
Hahahaha.... Mwasibu ulikua sawa, kikowapi sasa wamlipe na faini juu au wale ban ya misimu 3 mfululizo kutokusajili.