Yanga yaachana Rasmi na Kelvin Yondan na Juma Abdul

hiyo csisawa je kutokumpa mshahara wake kwa wkt na kumzungusha kuhusu pesa zake anazodai nalo unalizungumzaje
 
Ukweli Juma Abdul ni Beki mzuri wa kulia, krosi zake zimesaidia sana Yanga (assist), ila akija Kwetu atasota benchi, tunae Kapombe
Simba haina mbadala wa Kapombe, msajilini tafadhali. Msitulazimishe tuwe timu munayotaka nyinyi! Sisi tunaanza upya na vijana!
 
Ukiona adui yako anakusifia ujue unafanya makosa, ukiona adui anakulaumu jua UNAPATIA!
 
wengine hawana hata famili na matatizo yanazidiana nibora ugome kuliko kufingisha tumu tafuteni pesa mpira ni pesa co kelele
Sawa, tunahitaji mabadiliko lakini sio kwa model ya Simba! Simba ni kama wamepata mfadhili mwenye mkataba, lakini hawana business model nzuri! Kimsingi wanapata hasara kubwa kila mwaka tangu waanza! Timu haiwezi jiendesha! How long Mo atavumilia loss! #toamilioni20zetu!
 
Nitashukuru sana kama Simba itamsajili Juma Abdul kumsaidia Kapombe. Pengine inaweza kupunguza hasira zangu kwa kumsajili Mpumbavu Morrison.
 
Nitashukuru sana kama Simba itamsajili Juma Abdul kumsaidia Kapombe. Pengine inaweza kupunguza hasira zangu kwa kumsajili Mpumbavu Morrison.
"Mnyamani" akija Simba atasugua Sana bench, aende hata Ihefu
 
Ilikuwa mwaka 95. Mohamed Hussein hakuachwa. Yeye na Mkapa walikuwa miongoni mwa wakongwe wachache walio bakizwa kikosini.
 


Upo sahihi Mkuu,

Juma Abdul ndie mchezaji mwenye assist nyingi sana kwa takribani miaka 3 au 4 mfululizo.

Nilishamsikia Tambwe akihojiwa majuzi kati na Clouds Sports Xtra alimsifu sana Juma kwa namna ambavyo akikilinda kiwango chake na akasema kuwa ndie beki aliyekuwa akimlisha mipira mingi ya krosi, pía Ngoma na hata Makambo kapata krosi mujarrabu sn kutoka kwa Juma.

Ila kiukweli kwa haya yanayoendelea Yanga kuacha wachezaji na usajili unaofanyika ni wazi kuwa GSM hakuna kitu pale, jamaa hawana hela zaidi ya ubabaishaji, wanaiharibu Yanga kuliko kuijenga

Wana Yanga stukeni mapema GSM hamna kitu ni janja janja tu
 
Hivi huwa mnatumia masaburi kufikiri au? Watu mnaambiwa,wachezaji wamekataa terms za mkataba mpya ,mlitaka iweje,mke anasema hadharani hakutaki wewe utamlazimisha? Hawajakubaliana mnataka viongozi wawalambe makalio ama!
 
Hivi huwa mnatumia masaburi kufikiri au? Watu mnaambiwa,wachezaji wamekataa terms za mkataba mpya ,mlitaka iweje,mke anasema hadharani hakutaki wewe utamlazimisha? Hawajakubaliana mnataka viongozi wawalambe makalio ama!
Wamesajiliwa timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…