Yanga yaachwa na ndege Algeria


Aliyewaponza ni Simon Msuva kwani nasikia huwa akienda kujisaidia haja kubwa huwa anatumia muda mrefu sana msalani hivyo wenzake walikuwa wanamsubiri yeye. Na hapo wakati yeye akiwa huko anajisaidia Hassan Kessy nae tumbo la kuhara likamshika kwakuwa aliparamia chakula cha Kiarabu kumbe kilikuwa na pilipili za kutukuka ndipo wakaamua wawasubiri wote na ndipo Pilot akaona wasimtanie akaliamsha.

Nasikia hata walivyolala jana ni mafungu mafungu na wameamka asubuhi hii kwa ukata waliona unaambiwa zimenunuliwa Chapati tano ( 5 ) tu wagawane wote 15 na watosheke kwani hali ni mbaya na muda huu huu Katibu Mkuu Mkwasa ameenda kuhemea Dagaa na Matembele ili aje amkabidhi Haruna Niyonzima achambue ili Nadir Haroub Cannavaro apike.

Kama vipi Watanzania tupitishe harambee / mchango ili tuwatumie haraka hawa Ndugu zetu kwani nasikia Ndege yao ya kurudi huku ipo tena siku ya Jumatano na kama hawatapewa msaada wowote ule wa haraka kuna hatari Wachezaji wa Yanga mchana baadae wakagawana mitaa ya Algiers na kuanza kuwa akina Matonya / Omba Omba.
 
MC Alger wasikubali, waliachwa na ndege walikuwa wanafanya Nini??
Ushamba tu, walale kwenye mitaro ya maji machafu tu hamna namna!

Au watembee kwa miguu hata kama watafika Dar 2020 sawa!
 
Kipigo kimewachanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea 4G wewe???
 
Kunywa sumu
 
Uwiiiiii[emoji28] [emoji28] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hakika Genta wewe ni mshenzy aisee! Nimecheka mpaka mbavu zikataka kupinda aisee!

Hilo wazo Lako la mwisho siliungi mkono hata kidogo acha wawe matonya tuu, tena wajitahidi kuomba sana ili wapate pesa za kununulia chapati njiani, hela ya kupandishwa ndege hamna watembee kwa miguu hata kama watafika 2030 sawa tuu!
 
Acha umbea mtoto wa kiume....
 
Mwingine huyu kalewa kinywaji aina ya foojii, mkuu jitahid kunywa maji mengi na ukae kivulin
 
Ha ha ha ha ha ama kweli we ni ibofwee
 
Utakuwa shabiki wa 4G Yanga
 
Walichanganyikiwa wakawa wanzurula tu. Acha waje kwa kwato zao. Shenziiiiii
 
Wasije wakajiroga ...wakazamia! Waalgeria siyo wazuri hata kidogo kwa namna wanavyowashughulikia wahalifu!
 
Mjerumani alitokwa jasho na Wanaume Algeria W/C 2014.sembuse Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…