Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Klabu ya Yanga imetangaza kupokea mwaliko maalumu kutoka serikali ya Malawi kucheza mchezo maalum kwenye maadhimisho ya ya miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo lililopo Kusini Mashariki mwa bara la Afrika.
Katika sherehe hizo Yanga itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wao Nyasa Big Bullets FC Julai 6, 2023 na tayari Afisa Habari wa timu hiyo Ally Kamwe amesema kikosi kitaanza safari Julai 5, 2023.
Je, ukisikia timu ya wananchi unaelewa nini?
#YangaSC #Malawi