Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malawi hapo Tukuyu kwa Nyuma?
Kunywa maji mkuu usije ukapasuka kwa uchunguMalawi ni Tukuyu B
Kyela Kwa nyuma ukivuka ziwa nyasa🤓🤓🤓😂🤣🤣🤣Malawi ni Tukuyu B
95KM hata kwa Phoneix unafikaHapana boss.... tukuyu ni kwetu....but sio malawi....kufika had malawi .... almost ni 95km
Ukipitia ile njia ya Matema ni easy sana kufikaKyela Kwa nyuma ukivuka ziwa nyasa🤓🤓🤓😂🤣🤣🤣
Unashauri yanga wamtume Mwaikimba apeleke kikosi cha New fighter? Au tuwatume small boys wa mwaya?Mbeya kwanza wako centre ya mji.
Kule ni Kyela ndani ndani kwenye mashamba ya mpunga.
😂😂😂Ukipitia ile njia ya Matema ni easy sana kufika
Matema pale kuna vimtumbwi wanavipaki havinaga wenyewe ila changamoto ni ule mti wa kupigia kasia ndio huwa wanaficha.
So unatakiwa utoke na mwiko kabisa unavyotoka home.
Yaani hata Malawi unajipiga kifua mbele? Si kwa akina Peter Banda hapo?Tabu inaendelea kwa makolo. Sijui watapumzika lini. Mwaka huu wanalo
Au cha Tukuyu starsUnashauri yanga wamtume Mwaikimba apeleke kikosi cha New fighter? Au tuwatume small boys wa mwaya?