Malawi ni Tukuyu B
Na Tukuyu ipo huko hukoHapana mkuu..... malawi ipo kusini mwa TZ
Ndoto ya wamalawi wengi ni kuja kuishi Tanzania.Taifa lenye Rais, na serikali, ficha ujinga wako
Ukifika Matema kule Unyakyusani utakuwa na option mbili, upite na mitumbwi ya wavuvi au utoe buku uchukue bajajiMalawi ndo ipo wapi kwani wakuu? sijawahi kuisikia.
Ndoto ya wamalawi wengi ni kuja kuishi Tanzania.
Huku wanakuona kama mambele.
Kumbe ni sawa na kucheza na Mbeya KwanzaUkifika Matema kule Unyakyusani utakuwa na option mbili, upite na mitoe buku uchukue bajaji
Ndio Wamalawi wanavyoionaSawa, kwa hiyo Dar ndo LA sio?
Mbeya kwanza wako centre ya mji.Kumbe ni sawa na kucheza na Mbeya Kwanza
Na wewe peleka team yako na ndege ya serikali tuoneMbeya kwanza wako centre ya mji.
Kule ni Kyela ndani ndani kwenye mashamba ya mpunga.
Na mkitoka huko mnaenda kuweka kambi KigamboniNa wewe peleka team yako na ndege ya serikali tuone