Kambi Kigamboni na makombe yote tunachukuaNa mkitoka huko mnaenda kuweka kambi Kigamboni
Mwaka jana sababu ilikuwa Azizi Ki kuzoa pesa zote.
Safari hii hakuna hela, ile baki ya faida tumelipia deni FIFA.
Labda mchukue kombe la bonanza huko MalawiKambi Kigamboni na makombe yote tunachukua
Acha ufara na utopolo mnajiona kwenda huko Malawi ufukaraniTabu inaendelea kwa makolo
Sijui watapumzika lini
Mwaka huu wanalo
Malawi ndo ipo wapi kwani wakuu? sijawahi kuisikia.
Watumeni sungura ya ngonga au beach ya kajunjumeleUnashauri yanga wamtume Mwaikimba apeleke kikosi cha New fighter? Au tuwatume small boys wa mwaya?
Au mitondo ya bodaWatumeni sungura ya ngonga au beach ya kajunjumele
Tuwapelekee tuu hata Miselo au MwakamogoIkolo au kapasyula
Yan unafurahia timu iliyo chezea kichapo ndani na nje toka kwa Mnyama, Aisee🤔🤔Scars anajuta kushabikia makolo
Malawi hapo Tukuyu kwa Nyuma?
Ha ha haaaa, Aisee ukisikia mpinzani halisi ndiyo wewe sasa🤣🤣.Malawi ni Tukuyu B
🤣🤣🤣🤣Acha ufara na utopolo mnajiona kwenda huko Malawi ufukarani
Wakipige tuu hvo hvoMwakamogo ...ni Ngoma ya malawi
Ipo maeneo ya TukuyuMalawi ndo ipo wapi kwani wakuu? sijawahi kuisikia.