Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Na hiyo ni kwako.. Kwangu ni penati yenye utata Mkubwa saaana.. Ndugu zangu wa bodi ya ligi mchunguzeni refa wa mechi ya leo.. pia kuna mtu kama Yondani nimeshangaa anamalizaje dk 45.. ina maana refa leo red card hakuingia nayo uwanjani??!Hukuangalia mpira wewe!Penati ilikuwa clear kbs!
Tunamfuata Kagera Sugar kwake.Mechi ijayo Simba anacheza na nani?
Kwani ukiambiwa wanabebwa ulijua wanafungwa begani na bebishooNa hiyo ni kwako.. Kwangu ni penati yenye utata Mkubwa saaana.. Ndugu zangu wa bodi ya ligi mchunguzeni refa wa mechi ya leo.. pia kuna mtu kama Yondani nimeshangaa anamalizaje dk 45.. ina maana refa leo red card hakuingia nayo uwanjani??!
Ndivyo ninavyojua.Kwani ukiambiwa wanabebwa ulijua wanafungwa begani na bebishoo
Mkuu hili suala halina mjadala kabisa.. Ndala lazima wakalishwe.Yanga akifungwa na Azam shughuri imeisha