Yanga yabanwa mbavu na Mtibwa. Yashindwa kutamba Morogoro

Hivi hii ndo Yanga iliyofungwa na Simba?

Belo mbona uwezo wenu unazidi kua mdogo hivyo?
Yanga wamecheza mpira licha ya uwanja kuwa mbovu huwezi kulinganisha na kiwango walichoonyesha wamchangani jana,itakuwa aibu kubwa kwa nchi kama wamchangani watachukua ubingwa
 
Najiuliza hapa.. Hivi uwanja wa jangwani na wa jamuhuri upi ni mbovu?

NB: Shukrani sana kwa kukiri kua Simba SC ni bingwa mtarajiwa msimu huu.
 
Back
Top Bottom