Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA.

Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa kiasi cha tsh 5000,000 million tano na nyingine million tano baada ya mechi.

Lengo kuu la vyura kufanya hvyo ni kuhakikisha wanafanya kila namna na kila njia wachezaji wa Simba wapate kadi au wawasababishie majeruhi ili waweze kukosa mechi ya Derby trh 28/10/2017.

Pia kuna habari kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Giza ambaye anakaa na funguo za chumba number 8 ambacho ni maalum kwa mambo meusi pale Jangwani bwana M na wenzie wameelekea Pemba kwa ajili ya kazi hiyo.

Tutaendelea kuwaletea mengine zaid kadri antenna zetu ztakavyonasa
 
wakinga na wabena wenye uyanga ndani hao ndio wamefanya ivyo so si vema kuhusisha yanga moja kwa moja kwani njombe mji ni timu ya asili ya wanakotoka.
 
Ni kweli Wakinga na Wabena wengi ni Washabiki /Wapenzi wa Yanga kwa sababu ya mchezaji mmoja wa Yanga wa zamani aliitwa Joseph Fungo (Mkinga - Mmagoma). So ukizingatia wana hela wataibeba sana Njombe Mji hapa Dar maana ni timu ya mkoa wao. Hii habari kuwa Yanga ya jangwani ndio imewafadhili sio kweli Wakuu.
 
hela hawana bado wanaishi kizamani kama ni kweli n ujinga.si wangewapa wachezaji wao
 
Ni kweli Wakinga na Wabena wengi ni Washabiki /Wapenzi wa Yanga kwa sababu ya mchezaji mmoja wa Yanga wa zamani aliitwa Joseph Fungo (Mkinga - Mmagoma). So ukizingatia wana hela wataibeba sana Njombe Mji hapa Dar maana ni timu ya mkoa wao. Hii habari kuwa Yanga ya jangwani ndio imewafadhili sio kweli Wakuu.
Sasa kwanini iwe Wakinga na Wabena badala ya wapenzi wa Yanga?
 
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA.

Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa kiasi cha tsh 5000,000 million tano na nyingine million tano baada ya mechi.

Lengo kuu la vyura kufanya hvyo ni kuhakikisha wanafanya kila namna na kila njia wachezaji wa Simba wapate kadi au wawasababishie majeruhi ili waweze kukosa mechi ya Derby trh 28/10/2017.

Pia kuna habari kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Giza ambaye anakaa na funguo za chumba number 8 ambacho ni maalum kwa mambo meusi pale Jangwani bwana M na wenzie wameelekea Pemba kwa ajili ya kazi hiyo.

Tutaendelea kuwaletea mengine zaid kadri antenna zetu ztakavyonasa
Kuna mtu aliwahi kusema.....nani katuroga watanzania....nami nasema tumejiroga wenyewe watanzania wengi awana fikra pevu wanawaza umbea na kuchonganisha wengine......mtu unaacha kufikiri mambo yenye manufaa....unaanza kuandika ujinga na umbea. Kamwe soka la Tanzania haitakaa ikaendelea. Huna huakika na jambo then unaandika andiko la kufikirika. Hatari sana
 
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA.

Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa kiasi cha tsh 5000,000 million tano na nyingine million tano baada ya mechi.

Lengo kuu la vyura kufanya hvyo ni kuhakikisha wanafanya kila namna na kila njia wachezaji wa Simba wapate kadi au wawasababishie majeruhi ili waweze kukosa mechi ya Derby trh 28/10/2017.

Pia kuna habari kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Giza ambaye anakaa na funguo za chumba number 8 ambacho ni maalum kwa mambo meusi pale Jangwani bwana M na wenzie wameelekea Pemba kwa ajili ya kazi hiyo.

Tutaendelea kuwaletea mengine zaid kadri antenna zetu ztakavyonasa

Ndio maana time zetu hazifiki mbali kimichezo.
 
Nilidhani unasema Tshishimbi ataichezea Njombe Siku ya mechi hiyo.
 
Hahahaha mikia wanachekeshaga sana,ukiona wameanza maneno ya namna hii mapema ujue wanajua kitakachotokea msimu huu,hata njombe mnaiogopa?
 
80dc4fcbadca53d0f1bc2c110dd2186d.jpg
 
Kweli nyie mambumbumbu mwanzo mulisema yanga aina hela leo hii yanga wamewakodia njombe mji hotel hela hiyo yanga kaipata wapi? kama siyo umbumbumbu kiwe nini?
 
Back
Top Bottom