Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hadi aljeria? Mmetisha wananchi, hii tabia kwa africa walikuwa nayo al ahlyWananchi walisaidia mpaka yatima wa Algeria huko ndo itakuwa home boys wa Duga hapo.
Watoe damu wafie UWANJANI... baadae mseme Yanga wamecheza rafu.Baada ya Yanga kusikia Azam wametoa misaada kwa yatima huko Tanga, na wao wamejibu kwa kwenda Duga kutoa misaada.
Ngoma ngumu hii wajameni, azam kazeni hapo hapo, ikiwezekana ongezeni misaada kwa watoto na yatima, changieni damu pia, Leo mmewakamata hao jamaa zenu.