Yanga yaenda Duga kutoa sadaka, kazi ipo Leo Mkwakwani

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Baada ya Yanga kusikia Azam wametoa misaada kwa yatima huko Tanga, na wao wamejibu kwa kwenda Duga kutoa misaada.

Ngoma ngumu hii wajameni, azam kazeni hapo hapo, ikiwezekana ongezeni misaada kwa watoto na yatima, changieni damu pia, Leo mmewakamata hao jamaa zenu.
 
Watoe damu wafie UWANJANI... baadae mseme Yanga wamecheza rafu.
 
Back
Top Bottom