Yanga yafanya maajabu Tunisia

Yanga yafanya maajabu Tunisia

A d o l f

Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
48
Reaction score
187
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African.

Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz Ki.

Je, unaiona Yanga ikitoboa hatua ya makundi kwenda robo fainali?

FB_IMG_16681635599255786.jpg
 
Aisee wewe ni mmoja wa wale abiria 26 walionusurika kwenye ile ajali ya ndege ya Precision airways, au!!
 
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African.

Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz Ki.

Je, unaiona Yanga ikitoboa hatua ya makundi kwenda robo fainali?

View attachment 2413343
Yanga wanachukua kombe hilo mwaka huu wale berkene wa kuogopwa wametolowa kwenye mashindano sasa hivi njia nyeupee mpaka fainali.
 
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African.

Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz Ki.

Je, unaiona Yanga ikitoboa hatua ya makundi kwenda robo fainali?

View attachment 2413343
Njia sio nyeupe kivile kwasababu waliopo pia wanamalengo ya kufika fainali pengine kuchukua kombe kabisa, ubaya zaidi mpira wa miguu ni ngumu kutabili kikubwa wajitoe, wajitume nadhani mambo mengine yatajulikana huko
 
Back
Top Bottom