kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
hii Yanga bado sijaelewa mfumo wa huyu kocha, alafu kadiri timu inavyocheza naona baadhi ya wachezaji kuporomoka viwango, mfano Kibwana, Kisila na Sarpong.Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM.
Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
Huyu Mikia au Manguruwe mwenzio. Soma katikati ya mistaliUtopolo wazee wa goli moja chali naona mlijibust na vumbi la kongo mkapiga viwili ππ
We Mikia a.k.a Manguruwe achana na Yanga.Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM.
Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
Duh Yanga kama mafuta petrol...ukiwagusa tu kosa,hata usifie washalipuka....! Wakati timu inashinda japo kimoja kimoja..We Mikia a.k.a Manguruwe achana na Yanga.
Hizo kejeli ni size ya mambumbumbu.Duh Yanga kama mafuta petrol...ukiwagusa tu kosa,hata usifie washalipuka....! Wakati timu inashinda japo kimoja kimoja..