Yanga yafikia makubaliano ya kumsajili Kennedy Musonda

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga.
1673073870119.png
 
Hivi kwa Nini mnakuwaga na kielehele Cha kuleta habari zisizo Rasmi hapa jukwaani. Yaani jf siku hizi Ni Kama kijiwe Cha kahawa
 
Na zinaachwa tu kisa zimetoka page ya Kitenge utadhani ni reliable source.
 
Hivi kwa Nini mnakuwaga na kielehele Cha kuleta habari zisizo Rasmi hapa jukwaani. Yaani jf siku hizi Ni Kama kijiwe Cha kahawa
ww unajifanya smart wakati hata kuandikia hujui!
 
Back
Top Bottom