Tajiri yupo..... worry outView attachment 2732780
Klabu ya Young Africans iliyo Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana.
Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mira wa Miguu (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo...
Yote yatalipwaWaulize wadhulmishi waliogoma kumlipa
Na mkimaliza hilo linakuja la Kambole
Kwani inadaiwa sh. ngapi?atalipwa
Waulizwe Newcastle waliomuuzaTunadaiwa shs ngapi,ili tuichangie timu yetu?
Sio madai ya leo lakini, zimeishapita siku za kumlipa kwa hiyo kama hela ipo angeshalipwaIyo ni ishu ndogo kwa klabu kama Yanga.
sijajua ni dau gani ila kwa tajiri GSM italipwaKwani inadaiwa sh. ngapi?
Lipeni hela, kusajili mmekamilika haya lipeni deni na mhakikishe mlio nao mnawalipa wasije tena wakina azam wakajichotea wakati ninyi mmesajili vyema.Kwa timu tuliyonayo waambieni Fifa hatuitaji kusajili timu yetu imekamilika.
Utamu tunaopata kwa wachezaji tulionao unatosha.
NB: Msisahau juzi tu kocha wenu Sven/kishingo aliwapeleka Simba Fifa kwa madai ya kutolipwa fedha zake.
Ata kitayose walikua wanadaiwa karibu na timu nzima wiki mbili zilizopita na kwasasa wameshamalizana nao na wameruhusiwa kuendelea na usajili.
Iyo ni ishu ndogo kwa klabu kama Yanga.
Usajiri ni kama bahati nasibu kuna kupata na kupotea.Ila pale kwa Gael Bigirimana, rais Herci Said alitikisa masikio yake! Alitupiga fix siku ya uchaguzi, Wajumbe tukaamini bhana!! Kumbe aliuziwa mbuzi kwenye gunia.