Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, FIFA imefikia uamuzi wa Kuifungia Timu ya Yanga baada ya kushindwa kumlipa Hamisi Tambwe malimbikizo ya mshahara na pesa za uhamisho kiasi cha Jumla Tsh Millioni 44.

Na sasa Yanga Haitaweza kufanya usajili kwa muda wa miaka mitatu kuanzia sasa.

Poleni Sana Yanga, Baada Ya Bumbuli Sasa Mnakutana Na Rungu la FIFA poleni.
 
Wenye Akili ndogo wameamini bila ya chanzo cha Habari
BREAKING NEWS_ Maamuzi ya FIFA na Nyundo kali kwa Yanga.  - KitengeUpdates ( 640 X 640 ).jpg
 
ntakuja hapa taarifa ikithibitika zaidi.
japo mimi ni kada ya mrengo wa kushoto
 
Haya tuanze kuhesabu wachezaji wenye mikataba ya miaka miwili kuja chini....duh
 
Hahahahahahahahah Wapi Kilogram 800 Fedrick Mwakalebela lazima aende CAS.
 
Mbumbumbu wasicho tambua hakunaga kifungo cha miaka kadhaa ya kusajili. Timu Ina adhibiwa kwa madirisha ya usajili kwaiyo mleta taarifa aende akamwambie aliye mtuma wanatakiwa warekebishe Kwanza ili uongo uendane kidogo na ukweli.

Kingine mbumbumbu fc wasicho fahamu timu inawezakusajili wachezaji inao wataka na kuwapeleka sehemu nyingine wakacheze mbaka pale muda wa adhabu unapoisha wanawatumia.
 
Back
Top Bottom