Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Umemsikiliza vzr wakili wa Tambwe?Mfano chelsea aliwahi kukata rufaa na kushinda ila Yanga ameshakata rufaa CAS na ameshindwa hivyo alitakiwa kumlipa Tambwe hata hivyo hawakufanya hivyo ndio maana Fifa ikafikia maamuzi hayo
Mpaka jumatatu hiyo pesa itakua ishalipwaInawezekana lakini wanao hawajaletewa mashtaka na kuto kufanyia kazi.
Yanga inaweza kuwa timu ya kwanza kufungiwa na FIA katika misimu mingi iliyopita.
Timu nyingine zinaweza kujifunza kutokana na hii minong'ono.
Issue ya kichuya mikia walikata rufaa,ndio maana unamuona kichuya anaendelea kucheza huko namungo huku akisubiri majibu ya rufaaHata Yanga isajili 2024, bado itaendelea kubakia kuwa moja ya timu bora kabisa. Ina wachezaji lukuki vijana tofauti na timu yenu iliyojaa wazee!!
By the way, ile mil.300 ya Kichuya mlishalipa? Au bado mnaendelea kumlamba miguu Mwamedi ili awalipie?
Labda kwenye reli ya mbaoPale mkurgenzi wa habari wa mbumbumbu fc mwenye elimu ya uwalimu wa Madrass anapo tafutiza vihabari uchwala ili kujaribu kuwatoa Wananchi kwenye Reli.
Ni sawa sawa na Simba na KichuyaNi aibu sana kwa timu inayojiita ya wananchi kuendesha mambo yake Kitapeli , bado kesi ya Zahera Mwinyi
Hukumu ishatolewa na kulipa kupo palepale.Mpaka jumatatu hiyo pesa itakua ishalipwa
Meneja wa Simba tatizo lake lipo nje ya vyombo na Mamlaka ya Soka, lipo Mahakama ya Kazi sijui Huko.Halina mvuto.Hivyo vitu vipo mamia kwa maelfu kwenye taasisi na makampuni mbalimbaliBongo hamna waandishi wa habari Bali Kuna waandishi wa udaku
Nimemsikiliza huyo wakili wa tambwe, anasema "Yanga waliambiwa wamlipe tambwe, Yanga wakaenda CAS kupinga adhabu, Yanga wakashindwa tena, Jana huyo wakili kapewa taarifa kwamba Yanga wamefungiwa kusajli madirisha 3 mpaka pale watakapo lipa kifungo kinaisha, na Kama hawato lipa kabsa basi wanakatwa points na rungu kubwa zaidi"
Sijaona Cha ajabu hapo waandshi kushikiria bango. Maana Yanga SC watalipa tu.
Week iliyopita meneja wa zaman wa Simba SC nae alikuwa na matatzo Kama hayo, ila waandishi hawajashadadia, sijui kwa sababu ni mbongo
Nimemsikiliza pia vizuri kwani wewe umemsikia anazungumziaje tofauti na nilivyoeleza?Umemsikiliza vzr wakili wa Tambwe?
Yanga wanazingua sasa hata kama hawana hela wangewalipa wachezaji wanaowadai sio kusajili wachezaji wapya.Wananchi muwalipe vijana kama walivyo watumikia kwenye shida na rahaView attachment 1693496
DuuGSM kachomoa betri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa wataishije.
Asante Sana amiss tambwe huu NI ushindi wa wote tunaopenda maendeleo ya soka nchini.
Dawa ya deni kulipa
Hahahaha duhSafi FIFA, Mungu awazidishie mlipopungukiwa