Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Yanga yafungiwa na FIFA kufanya usajili kwa misimu 3

Mfano chelsea aliwahi kukata rufaa na kushinda ila Yanga ameshakata rufaa CAS na ameshindwa hivyo alitakiwa kumlipa Tambwe hata hivyo hawakufanya hivyo ndio maana Fifa ikafikia maamuzi hayo
Umemsikiliza vzr wakili wa Tambwe?
 
Inawezekana lakini wanao hawajaletewa mashtaka na kuto kufanyia kazi.
Yanga inaweza kuwa timu ya kwanza kufungiwa na FIA katika misimu mingi iliyopita.
Timu nyingine zinaweza kujifunza kutokana na hii minong'ono.
Mpaka jumatatu hiyo pesa itakua ishalipwa
 
Hata Yanga isajili 2024, bado itaendelea kubakia kuwa moja ya timu bora kabisa. Ina wachezaji lukuki vijana tofauti na timu yenu iliyojaa wazee!!

By the way, ile mil.300 ya Kichuya mlishalipa? Au bado mnaendelea kumlamba miguu Mwamedi ili awalipie?
Issue ya kichuya mikia walikata rufaa,ndio maana unamuona kichuya anaendelea kucheza huko namungo huku akisubiri majibu ya rufaa
 
Utopolo wamezidi dhulma na njaaa wanakata rufaa pesa za usajili, leteni bakuri tuwachangie kama magodoro hayauziki.

Tafuteni wasemaji wenye uelewa hawa wa saivi ni chenga chenga tuu
 
Bongo hamna waandishi wa habari Bali Kuna waandishi wa udaku

Nimemsikiliza huyo wakili wa tambwe, anasema "Yanga waliambiwa wamlipe tambwe, Yanga wakaenda CAS kupinga adhabu, Yanga wakashindwa tena, Jana huyo wakili kapewa taarifa kwamba Yanga wamefungiwa kusajli madirisha 3 mpaka pale watakapo lipa kifungo kinaisha, na Kama hawato lipa kabsa basi wanakatwa points na rungu kubwa zaidi"

Sijaona Cha ajabu hapo waandshi kushikiria bango. Maana Yanga SC watalipa tu.

Week iliyopita meneja wa zaman wa Simba SC nae alikuwa na matatzo Kama hayo, ila waandishi hawajashadadia, sijui kwa sababu ni mbongo
Meneja wa Simba tatizo lake lipo nje ya vyombo na Mamlaka ya Soka, lipo Mahakama ya Kazi sijui Huko.Halina mvuto.Hivyo vitu vipo mamia kwa maelfu kwenye taasisi na makampuni mbalimbali
 
Wananchi muwalipe vijana kama walivyo watumikia kwenye shida na raha
Screenshot_2021-02-03_163423.jpeg
 
Back
Top Bottom