Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Uwaga sipendi kuargue na mtu anayenilazimisha yakwake tu yawe mema yangu yaonekane si kitu....Thubutuuuu
Msimu huu ndio tumesajili wachezaji wetu wengi mikataba yao imebaki mwaka mmoja na nusu..... Kwa jinsi timu inavyocheza sasa mpaka ije kupoteza ladha sio kesho wala keshokutwa.
Golini tuna metacha, Farouk na kabwili
Beki kuna Ninja, Makapu, Nondo, lamine, Kibwana, Paul, adeyum, Yassin na Job
Viungo tunao Mukoko, Gift, Feisal, Haruna, De camo, kisinda, kaseke, makame, Sogne, Saido, mahadhi n.k
Washambualiaji tuna waziri jr, sarpong, feston n.k
Narudia tena tuna uhakika wa kucheza for the next three to four years pasi na shaka.