Yanga yafuzu makundi kwa kuifunga matimu mabovu

Yanga yafuzu makundi kwa kuifunga matimu mabovu

Hii Yanga kila tangu msimu umeanza ukiweka na pre-season nafikiri kweli tumekutana na vibonde tupu ndio maana kuna ka timu flani hivi kalipigwa moja na mawili kukataliwa na refa week nzima kalitamba na kujiona mwamba kweli kweli..
Hichi kikombe cha kumezea dozi ndio kimeanza sasa mjiandae tu wapinzani..
 
Yanga mbovu bila kuhonga muamuzi na kutengeneza maduka hawezi kuifunga Simva kamwe
Nikweli hata wachezaji yanga sc inawahonga pamoja na mashabiki hata wanao angalia kwenye tv yaani pamoja na wewe umehongwa, hata akili zako zimehongwa hadi una ahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya chuki binafsi
 
Back
Top Bottom