Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
AaahaaaalUzuri ni kwamba Yanga akifunga kuanzia goal 5 kila mmoja anakuwa na furaha hadi makolo ila akishinda chache kelele nyingi.
Hili wimbi la goli 5 hata nyie makolo mlifungwa, je mlkuwa wabovu??
Tabulele, Yanga SC vs simba SC tarehe 19-10-2024 matokeo ya siku hiyo ndiyo tutajua timu gani mbovuHapo vip!
Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
Kama ni hivyo basi hakuna timu mbovu kama Simba na CBE kwasababu ndio tulizipiga mpaka tukachoka 🤣🤣🤣Hapo vip!
Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
Yanga inajipangia ratiba?Hapo vip!
Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
Yanga mbovu bila kuhonga muamuzi na kutengeneza maduka hawezi kuifunga Simva kamweKama ni hivyo basi hakuna timu mbovu kama Simba na CBE kwasababu ndio tulizipiga mpaka tukachoka 🤣🤣🤣
Corona FC.Hapo vip!
Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
Kamati ya roho mbaya! Simba imara tumewafunga ngapi? Banghdad!Hapo vip!
Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
Simva ni club mpya eeh...kakojoe ulale sasaYanga mbovu bila kuhonga muamuzi na kutengeneza maduka hawezi kuifunga Simva kamwe
Nikweli hata wachezaji yanga sc inawahonga pamoja na mashabiki hata wanao angalia kwenye tv yaani pamoja na wewe umehongwa, hata akili zako zimehongwa hadi una ahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya chuki binafsiYanga mbovu bila kuhonga muamuzi na kutengeneza maduka hawezi kuifunga Simva kamwe
Simva ni timu ganiYanga mbovu bila kuhonga muamuzi na kutengeneza maduka hawezi kuifunga Simva kamwe