Yanga yahamishia mchezo wake na Pyramid CCM Kirumba - Mwanza

Kulingana na sheria za CAF, na muda uliopo cjui kama litawezekana!
 
Hahahaaa wanataka kutumia ubovu wa uwanja ili kupata matokeo
 
Sisi kama Pyramids, ngazi zetu zinauwezo wa kuwafikia gongowazi huko walipo na kuwachomoa kwa kichapo takatifu...!NguvuPyramid
 
Zahera voice:Tume fungwa goal moya home tunaenda kupata ushind kwao baada ya dakika90 siku ya taree27
 
Bikra lazima ing’olewe hata ubadili Guest!

Alisikika Mlevi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…