Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itawezekana tuKulingana na sheria za CAF, na muda uliopo cjui kama litawezekana!
Dar wanatia mkono mechi zetu-Nugaz.
Ni kutapatapa tu!!!Hahahaaa wanataka kutumia ubovu wa uwanja ili kupata matokeo
Tunaogopa ya UD Songo kwa Mkapawanaogopa hawataweza kujaza kwa mkapa
Hakuna wanao ogopa mbona wao huwa wanabadilisha uwanja huwa wanaogopa au Nini???? Kila timu Ina haki ya kuchagua uwanjawanaogopa hawataweza kujaza kwa mkapa
Ud songo ilikuwa 1 - 1 HII GAME YANGA LAZMA APIGWETunaogopa ya UD Songo kwa Mkapa
Hakuna wanao ogopa mbona wao huwa wanabadilisha uwanja huwa wanaogopa au Nini???? Kila timu Ina haki ya kuchagua uwanja
Hebu jaribu kuficha umbumbumbu wako, kuhamisha uwanja si kukimbia mpambano, ni mbinu tu za kimichezo. We endelea kuzinguliwa na wenge LA Ud Songo a.k.a MakondeeeezKifo huwa hakikimbiwi [emoji23]
Hayo ni maoni yakowanaogopa hawataweza kujaza kwa mkapa
Hapana! Wanasema eti Simba alishauharibu huo uwanja!wanaogopa hawataweza kujaza kwa mkapa