Vipensi fc bdo wenge la Makame linawasumbua hadi mnapeleka timu mwanzaHebu jaribu kuficha umbumbumbu wako, kuhamisha uwanja si kukimbia mpambano, ni mbinu tu za kimichezo. We endelea kuzinguliwa na wenge LA Ud Songo a.k.a Makondeeeez
Timu yenye Bikira Tz ni Simba tu, hao walitolewa na Police Tz, akaja Ruvu shouting akapita, Akaja Zesco akapita . Saizi hapo ni jamvi la wageni. Pyramid nao watapitaBikra lazima ing’olewe hata ubadili Guest!
Alisikika Mlevi mmoja
Hata kama ni vichakani lazima ing'olewe tuBikra lazima ing’olewe hata ubadili Guest!
Alisikika Mlevi mmoja
AiseeTunaogopa ya UD Songo kwa Mkapa
Nani alitoka baada ya dakika 90?Ud songo ilikuwa 1 - 1 HII GAME YANGA LAZMA APIGWE
Yanga wajinga sawa. Wewe ni mpu.mbavu kabisa.Ila yanga ni wajinga sana kwanini hawana mshauri wa mambo ya finances? Kwa sababu wameshajua tayari wameshindwa kwanini mechi isingebaki dar ili waingize mapato?
Mkuu Frank Wanjiru pyramid waje tu na mabeki na viungo...wafungaji watawakuta hukuhuku....kuna aliali&makame wazee wa kuunganisha mipira ya cross 😂 😂...aliali huwa anapiga na diving header kabisaNani alitoka baada ya dakika 90?
Kweli mpira maajabu sana Simba katika sare ya moja moja na UD songo katolewa, Yanga kafungwa mbili kwa moja na Zesco katolewa .Nani alitoka baada ya dakika 90?
Ndio mkuuHayo ni maoni yako
Ni sawa na mgonjwa anayetapatapa kwakila namna ili mradi haepukane na kifo. Kwahiyo kila dawa ataiamini kuwa ni tiba. Tukumbuke ya kwamba uwanja wa kwa Mkapa umeshindwa kuleta ushindi kwa timu zote za ndani ya Tanzania katika michano ya kimataifa kwa kipindi hiki.Yanga inaongozwa na wapumbavu. Maamuzi ya kujuha haya faida yake nini?