Yanga yahamishia mchezo wake na Pyramid CCM Kirumba - Mwanza

Yanga yahamishia mchezo wake na Pyramid CCM Kirumba - Mwanza

.
20191006_142742.jpeg
 
Hebu jaribu kuficha umbumbumbu wako, kuhamisha uwanja si kukimbia mpambano, ni mbinu tu za kimichezo. We endelea kuzinguliwa na wenge LA Ud Songo a.k.a Makondeeeez
Vipensi fc bdo wenge la Makame linawasumbua hadi mnapeleka timu mwanza
 
Bikra lazima ing’olewe hata ubadili Guest!

Alisikika Mlevi mmoja
Timu yenye Bikira Tz ni Simba tu, hao walitolewa na Police Tz, akaja Ruvu shouting akapita, Akaja Zesco akapita . Saizi hapo ni jamvi la wageni. Pyramid nao watapita
 
tuwaombee ndugu zetu.wafe kifo kizuri nyumbani.
Hata cha 3-0.
Wakienda Misri wakafe hata 2-0.
 
Wafikie tu muafaka na Andrew Vicent ili awahi hayo maandalizi ya timu. Iwapo viongozi na benchi la ufundi hawatafikia muafaka na huyo mchezaji, hakika pale katikati patakuwa ni uchochoro.

Ali Ali na Kelvin Yondani! Halafu uso kwa uso na Waarabu wenye uchu wa mafanikio! Bora hata ya huyo Dante, ila siyo Ali Ali.
 
Ila yanga ni wajinga sana kwanini hawana mshauri wa mambo ya finances? Kwa sababu wameshajua tayari wameshindwa kwanini mechi isingebaki dar ili waingize mapato?
 
Ila yanga ni wajinga sana kwanini hawana mshauri wa mambo ya finances? Kwa sababu wameshajua tayari wameshindwa kwanini mechi isingebaki dar ili waingize mapato?
Yanga wajinga sawa. Wewe ni mpu.mbavu kabisa.
 
Yanga inaongozwa na wapumbavu. Maamuzi ya kujuha haya faida yake nini?
Ni sawa na mgonjwa anayetapatapa kwakila namna ili mradi haepukane na kifo. Kwahiyo kila dawa ataiamini kuwa ni tiba. Tukumbuke ya kwamba uwanja wa kwa Mkapa umeshindwa kuleta ushindi kwa timu zote za ndani ya Tanzania katika michano ya kimataifa kwa kipindi hiki.

Timu ya Taifa imetoa sare mechi mbili na imefungwa moja. Yanga ametoa sare mechi mbili. Na Simba nae ambayo ndio iliyokuwa inajiaminisha kuwa kwa mkapa ndio machinjio yao lakini wameshindwa kudhihirisha hilo mbele ya Ud Songo.
 
Back
Top Bottom