Yanga Yaingia Mitini shindano la "Nani Zaidi"

Wameona bora wajitoe mapema kuliko kuendelea kuruhusu umma ushuhudie aibu inayotokana na uchache wa mashabiki

Buku buku tu imekuwa changamoto kwao, haya sasa zile 29,000 wangeziwezea wapi

Wananchi wanaokimbia majitoleo halafu wanataka maendeleo ni wakupigwa sana vita, lakini pamoja na mhamasishaji wao kutoa kauli ya vitisho kuwa wasio changa waobdolewe kwenye ma group ya mitandao ya kijamii lakini waapi vibopa wam,eendelea kushikilia bomba babaake
 
Shindano halikua na tija kwa vilabu hasa vinavyojinasibu kuwa na wawekezaji wakubwa.
Ni matakwa ya mdhamini. Tija inapatikana kwa Simba na Yanga kwa kuwa wanapewa fedha na mdhamini wafanye kazi kama hizo.

Ukichukua fedha ni lazima uzitumikie, na kama utaona kuzitumikia fedha hizo ni ukosefu wa tija, jitoe kwenye mkataba ili ufanye ya kwako yenye tija kwa uhuru
 
INAJULIKANA...

watu hutoa zaidi rambirambi kuliko gharama za matibabu
 
starehe gharama matracco wewe

wewe unavyoshangilia mayele kufunga unafikiri...
Sasa mbona una hasira bila sababu?

Unafikiri ni wewe peke yako unajua kutukana?
 
Utopolooooo maskini tuuu hawana lolote madai yao hawataki kushindwa kwendreeeeni huko. Mmeogopa kwani mmekatazwa kuchanga milioni si g esi emu ana hela atoe na yy. Hapa hoja ni mapenzi ya timu yako kama unaipenda utachangia hata milioni 10 kwa cku. Haoooooooo haooooo wamekimbiaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…