Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪.
Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko