muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Topolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona zile kelele za makolo " kwa mwarabu hamtoki siku hizi hamna.........hata thread sizioni humu........".View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪.
Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hebu fanya kurekebisha basi haya maandishi yako, ili ueleweke.Jeahi la ushindi haliwezi kua na mwanajesji anaitwa kisinda, hicho ni Kikundi cha wakimbizi
Safari hii hatemi inapita moja kwa moja kama Manula.Topolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
Utopolo fc aka vihiyo fc
Kumbe Zuwena wa Diomond ni dadaake na Kisinda?!
View attachment 2509450
Haya njoo unipige...😂Mshamba ni wewe uane fanya mambo madogo yawe makubwa
Una hamu ya kupigwa?Haya njoo unipige...[emoji23]
ukikaidi utapigwa2Una hamu ya kupigwa?
Sasa kelele za nini wakati tunajua nyie mkigusa makundi lazima mmalize mkiwa wa mwisho ktk kundi?Naona zile kelele za makolo " kwa mwarabu hamtoki siku hizi hamna.........hata thread sizioni humu........".
Hiyo logo ya CAF champions League imefuata nini hapo..?View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123].
Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Sahiz utashangazwa mkuu...!Sasa kelele za nini wakati tunajua nyie mkigusa makundi lazima mmalize mkiwa wa mwisho ktk kundi?View attachment 2509537View attachment 2509541
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
😂😅Simba na Yanga bana.Limegonga makalio yako
Kumbe unapakatwa na yanga siku zote 7bu ya noti 🤣🤣🤣🤣 na munakubali kweli nyie madundukaTopolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
Kila la heri timu ya kwanza kuanzishwa Tanzania na yenye makombe mengi ya ligi.View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪.
Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
hee, kumbe Privadinho hana kitu kichwani?Mtu wa media kaishia shule ya kata, asamehewe
Nyie kumkataa twiga wa NBC sio jambo dogo mkalikuza?Mshamba ni wewe uane fanya mambo madogo yawe makubwa