Yanga yaingia Tunisia na Jeshi la Ushindi

Yanga yaingia Tunisia na Jeshi la Ushindi

Topolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
 
View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪.

Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Naona zile kelele za makolo " kwa mwarabu hamtoki siku hizi hamna.........hata thread sizioni humu........".
 
Naona zile kelele za makolo " kwa mwarabu hamtoki siku hizi hamna.........hata thread sizioni humu........".
Sasa kelele za nini wakati tunajua nyie mkigusa makundi lazima mmalize mkiwa wa mwisho ktk kundi?
20220920_154416.jpg
IMG-20220418-WA0012.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: K11
View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123].

Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hiyo logo ya CAF champions League imefuata nini hapo..?

Hiyo logo ni kwa timu kubwa tu...
Nyie tumieni logo ya CAF confederation cup.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga wakatuwakilishe vyema watuonyeshe ubora wa kikosi chao
 
Topolo FC watapigwa! Huko hakuna pila minoti,kipa amtemee AZIZ K afunge😀😀
Kumbe unapakatwa na yanga siku zote 7bu ya noti 🤣🤣🤣🤣 na munakubali kweli nyie madunduka
 
View attachment 2509275
Kila la Kheri Wananchi Bendera ya Taifa Ikapepee Vema, tumaini na shahuku kubwa ya Watanzaniani Ubingwa ni sio makundi na kuhishia roho faunal I sababu mafanikio ya mpira upimwa kwa vikombe 💪💪💪💪.

Tumeshafanya kila kitu ndani ya Nchi deni letu limebakia Africa na sasa ndo wakati sahihi wa kulilipa hili deni kwa watanzania.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Kila la heri timu ya kwanza kuanzishwa Tanzania na yenye makombe mengi ya ligi.
 
Mbona naona kama hili ni "JESHI LA WOKOVU. ?"
 
Back
Top Bottom