Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Una maanisha nini mkuuNipenda jezi zao zilkwa na jina la mdhamini mpya kwa haya mashindano
Limegonga makalio yakoLa nimepita pale ITV muda huu naona bus lao sijui limegonga nini pale
Wanasheria wa mitandaoni mpo vizuriNimependa jezi zao zikiwa na jina la mdhamini mpya kwa haya mashindano.
View attachment 2509297
Ushauri kwa mashabiki wa Yanga wakiwa mtaani wasivae jezi zenye nembo wa mdhamini wao wa ligi kuu, wavae kipindi wanakwenda uwanjani kuangalia mechi za ligi kuu.
Pia tImu zingine za Yanga kama timu ya wanawake wasivae jezi zenye nembo ya Sportpesa sababu sio wadhamini wa timu ya wanawake.
Mazoezini waepuke kuvaa jezi zenye nembo za mdhamini,.
Mshamba ni wewe uane fanya mambo madogo yawe makubwaIla yanga washamba sana..sasa kutumia nembo ya champions league ndio nini?
Mbona nimepita pale ITV muda huu naona bus lao sijui limegonga nini pale
Kalia msumari uone kitacho kupata.