Yanga yaingiza (5) kikosi Bora Cha wiki CAF

Yanga yaingiza (5) kikosi Bora Cha wiki CAF

Huyu Pacome anataka kutunyima usingizi sasa, anavyozidi kukiwasha roho juu!

Huyu anafaa EPL kabisa, huku Afrika tunamuonea tu.
Uwezekano wa kuwa nae msimu ujao... unazidi kushuka
 
Kama Mwamnyeto yupo basi hii list ni batwil
 
Aziz mechi ya Ahly aliwekewa ukuta wa watu wanne wa kumlinda muda wote wa mchezo ndio maana hakufurukuta sana.

Hizi mechi zote za Medeama amekiwasha, hasa hii ya mwisho.

Unasema assist wakati alikosa goli kama sio mpira kwenda nje kidogo ya lango?
Mwanzoni kabisa mwa mchezo pale kwa Mkapa Vs Medeama.
Dada upoo vizur
 
Back
Top Bottom