Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja kwenye hii picha ....
Maendeleo hayana Chama [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app