Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu Mzima Hatishiwi Nyau.Sawa...nyie bwabwajeni kuna siku mtalia machozi ya damu...
Ww ni lijingaaa...hivi huwa unawaza kwa kutumia nini? Unashangaa nini sasa...Kwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja kwenye hii picha ....
Maendeleo hayana Chama [emoji23]View attachment 2916001
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utajua hujuiMtu Mzima Hatishiwi Nyau.
Utajua hujui
Yani utaona... 😊 😊 😊 😊 😊Kwenda Zako [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hata mtaani hakuna mbilinge nilijua zitakua wiki nzima..mbona mmechoka mapemaJamiiforums Kwa Sasa Inamuonekano Mzuri Sana Kila Uki-refresh Page Unaona Taarifa Za Mabingwa Dar Young Africans
Timu ya wiki wanachukua mechi zote 8 za makundi 4.
Kweli nimeamini simba ni wachonga barabara, haya mambo simba kashayafanya sana, na unaweza kuta kuna mwana yanga kazimia kisa hii taarifa maana kuingia robo tu wakapelekwa hadi ICUKwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja kwenye hii picha ....
Maendeleo hayana Chama [emoji23]View attachment 2916001
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nenda kaanzishie uzi, maana kila taarifa unaianzishia uzi
Yani utaona... [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Halafu hata mtaani hakuna mbilinge nilijua zitakua wiki nzima..mbona mmechoka mapema
Kumbe pacome hayupo? Hii list ya mchongo
Sijui huwa huna shughuriiiii! Kutwa kucha, unaiwaza Simba tu!Kwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja kwenye hii picha ....
Maendeleo hayana Chama [emoji23]View attachment 2916001
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mimi mpaka hivi sasa nimeshaangalia highlights za hii mechi mara 5 sababu ya hiyo move hapo.Hawa sasa ndio CAF wenyewe wenye mashindano yao wanasema hivi kuhusu Pacome, mimi kwanini nibishe?View attachment 2916057
Pole mkuu.....hizo hasira zipeleke Kwa mudi .[emoji23][emoji23]alete quality playersWw ni lijingaaa...hivi huwa unawaza kwa kutumia nini? Unashangaa nini sasa...
Halafu mpaka muilinganishe Simba ndo mnapata kipimo sahihi au?