Mkimbia threads [emoji23]Wanakuja na Mwasibu OKW BOBAN SUNZU
Kalpana now ni mwananchiKalpana povu lako muhimu huku
Ila pacome wamemuoneaBila pacoume hapo hata Simba wakibisha ntawaunga mkono... Musonda tofauti na goli lile na kufanya pressing sikuona maajabu yake, Kuna lile goli alikosa yaani mpaka nikachoka
Mwenyewe nimeshangaa mkuuHiko ni kikosi bora cha wiki cha Futbal planet. Ila kwa tuliangalia mpira tunajua kabisa Pacome ndiye aliyekuwa mwiba kwa warabu.
InashangazaImekuaje Pacome hayupo ? Ila sio mby pia
[emoji23][emoji23]Hawa sasa ndio CAF wenyewe wenye mashindano yao wanasema hivi kuhusu Pacome, mimi kwanini nibishe?View attachment 2916057
kati ya mwaka yanga walishawahi kupata beki la kulia ni awamu hii, YAOYAO, yule dogo anaujua mpira na ni karata nzuri sana kwa Yanga, hao ndio walitakiwa kuwa na mshahara mkubwa kuliko hata hao kina aziz ki. musonda hapo amewekwa tu, sio hatari kihivyo.Kwa kikosi Bora Cha africa yanga imeingiza wachezaji watatu Kwa east Africa nzima
Musonda
Aziz ki
Yao
Swali: kwani Simba inashiriki CAF champions league.....mbna Haina mchezaji hata mmoja kwenye hii picha ....
Maendeleo hayana Chama [emoji23]View attachment 2916001
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app