Yanga yaingiza wa 3 kikosi Bora Cha wiki CAF Simba 0

Sewa mashabki wa yanga mnapagawa tulishawai kua kikosi bora mchezaj boraa nyie ndio mnaanza mtafika unajua mgumba akizaaa anawaona walio tangulia awajazaa kama yeye
 
Hiko ni kikosi bora cha wiki cha Futbal planet. Ila kwa tuliangalia mpira tunajua kabisa Pacome ndiye aliyekuwa mwiba kwa warabu.
"Hiko"ndio mdudu gani? Kwanini mnapenda kuharibu lugha adhimu ya kiswahili?
 
Aziz ki atoke hapo haraka awekwe pacome. Naonaga kama anabahatisha tu amekuwa mtu wa kulaumu wengne na kutaka apewe pasi yeye tu na mara nyng anaharibu move za kushambulia ni rahis kumnyang'anya mpira nadhan hastahili kuvaa ile namba 10 apewe pacome.
 
Mwenyewe nimeshangaa mkuu pacome kutokuwepo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…