Yanga yajiandaa kucheza na Copco ya Mwanza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kwa sasa Yanga inarudi kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Copco ya Mwanza katika hatua ya 64 Bora sambamba na kusubiri kuanza kwa ngwe ya pili ya Ligi Kuu ikianza na kiporo dhidi ya Kagera Sugar, mechi zote zikipigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex.

My Take
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga hii unaifungaje🀣🀣🀣🀣🀣
Midomo yote fyatuuuu
 
Kuna goli saba ziwangoja mikia,furahini tu
 
Ili uendelee kuwa Mbabe katika Ligi ya Nyumbani hakuna njia ya mkato zaidi ya kutwaa Mataji yote ya Nyumbani na ndilo ambalo Yanga anadumisha na kumpa heshima ya kuwa mabingwa wa Ku Historia
 
Ili uendelee kuwa Mbabe katika Ligi ya Nyumbani hakuna njia ya mkato zaidi ya kutwaa Mataji yote ya Nyumbani na ndilo ambalo Yanga anadumisha na kumpa heshima ya kuwa mabingwa wa Ku Historia
Ubingwa wa kihistoria uliojaa mashaka mashaka. Huwezi kuwa Bingwa mara zote hizo halafu mashindano ya kimataifa unagongwa kila siku na kutolewa .

Hii inamaanisha kwamba huo ubingwa huwa mnauchukuwa kwa njia zisizo halali.
 
Ni jambo jema
 
Mpira wetu bwana.

Mtu anashupaza shingo kukejeli mashindano ya CAF Shirikisho yenye zawadi na hadhi zake za kutosha tu (pamoja na kwamba ni kweli hazilingani na CAFCL) halafu anaenda kukaza kwenye kombe la shirikisho la TFF.
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…