Musonye amekosa jipya atoke. Kiongozi gani upo toka enzi niko primary mpaka leo halafu uwe na kipya? Mashindano yalitakiwa yamefanyike hata kila baada ya miaka miwili. Na kuepuka ratiba kuingiliana
Mkuu yanga kwa wachezaji waliocheza last season wanabaki watano tu,Tshishimbi,Gadiel,Yondani,Feisal na Paul Godfrey.........Timu inatengenezwa mpya kabisa chini ya Mwinyi ZaheraWaliomaliza mikataba ni akina Matheo, Mahadhi, Ngassa, Makapu, Kabwili, Juma Abduli, Tambwe, Kamusoko,Ajibu, Kindoki wengine ni wapi?
Mkuu yanga kwa wachezaji waliocheza last season wanabaki watano tu,Tshishimbi,Gadiel,Yondani,Feisal na Paul Godfrey.........Timu inatengenezwa mpya kabisa chini ya Mwinyi Zahera
Kweli kabisa! Mashindano ya CACL mazuri Sana hata haya Cecafa hayana msisimko inabidii wajipange waje kivingine.Zamani timu yenu Simba na yetu Yanga tulikua tunayapenda kwa kuwa tulikua hatujaonja utamu wa CAF tournaments, ila toka tumeonja hatutaki tena na ni kweli ratiba ya ligi yetu si rafiki
Mkuu yanga kwa wachezaji waliocheza last season wanabaki watano tu,Tshishimbi,Gadiel,Yondani,Feisal na Paul Godfrey.........Timu inatengenezwa mpya kabisa chini ya Mwinyi Zahera
Mkuu we subilia utaona mwisho wake utakuwaje,staki kusema nimetoa wapi ila hiyo ni taarifa ninayokupa ipokee na subiria confirmation yake baadayeHizo tetesi we umezipata wapi,mbona kama ni hivo wachezaji wengi wataachwa aisee na wataenda wapi,duh
Ninja anaoffer ya timu toka Zambia,anaweza kutimkia huko,offer ipo mezani kwa YangaNa Ninja naye anabaki
Hao si ndo first eleven uliowatajaWaliomaliza mikataba ni akina Matheo, Mahadhi, Ngassa, Makapu, Kabwili, Juma Abduli, Tambwe, Kamusoko,Ajibu, Kindoki wengine ni wapi?
Mkuu we subilia utaona mwisho wake utakuwaje,staki kusema nimetoa wapi ila hiyo ni taarifa ninayokupa ipokee na subiria confirmation yake baadaye