Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naomba kueleweshwa; hivi jezi ni nyekundu au nembo ndo nyekundu?Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umesema hautaweza kuvaa jezi yenye nembo nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom
Mwakalebela amefunguka kwa kusema kuwa hawataweza kuvaa jezi hizo kwani hawana utamaduni wa kuvaa rangi nyekundu ila huvaa rangi ya kijani na njano pamoja na nyeusi
Ameeleza kuwa uwepo wa hali mbaya kiuchumi katika klabu yao isiwe ndio sababu ya kuwafanya wageuke kanuni, taratibu na Katiba ya klabu yao kwani ni jambo ambalo haliwezekani
Aidha, Makamu huyo ameliomba Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kupitia Rais wake, Wallace Karia wazungumze na Kampuni ya simu ya Vodacom ili kubadili rangi ya nembo hiyo ndipo wanaweza kuvaa
*******
This is only in Africa
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Ndugu Mwakalabela ametoa taarifa rasmi ya Yanga kukataa kitumia jezi yenye nembo nyekundu ya mdhamini.
Awali Yanga walionyesha kutokuwa tayari kuvaa jezi yenye nembo nyekundu toka kwa kampuni ya Vodacom ambaye ni mdhamini mkuu wa VPL
Mwaka amesema Yanga iko kwenye hali mbaya kifedha lakini hawako tayari kwenda kinyume na katiba.
Na wewe toa mashudu yako humu kwa ma Great ThinkersSimba ni katimu kadogo so hakawezi kusikilizwa. Si unaona hata sahizi ukitaja Singo watu Na mikia yao inafyata?
Ruvu Shooting wanakuja shauri yako!! Utakula 2-0 kama umesimama!Kama nyie mlivyoishia kwa ud songo. Endeleeni kumkatikia mo
Hilo taifa lina uchumi gani, huu wa kupitisha bakuli kama vyura.Kwani hujui njano na kijani ni moja ya rangi za bendera ya taifa? Acha umbumbumbu wako mbwa wee
Tunahitaji ushahidi gani kujua kama uongozi mzima wa Yanga hawatumii akiliMi naomba kueleweshwa; hivi jezi ni nyekundu au nembo ndo nyekundu?
Naomba kuwaelewesha Yanga kwamba nembo ya mdhamini siyo sehemu ya jezi.
Timu inapotambulisha jezi zake kinachioneshwa ni rangi za timu na nembo ya timu hivyo kinachobandikwa baada ya hapo ni matangazo tu na siyo sehemu ya jezi.
Umeenda upande siyo, umeharib! Uislam ni elim, si ushabiki. Uislam hautaki mtu afe njaa ilhali kitimoto/nyau n.k wapo mbele'ake.Bora tukacheze ndondo lakini sio kuvaa nyekundu sawa na muislam bora ufe njaa kuliko kula kitimoto
Uongo.Jezi ni sehemu yote ya nguo ikiwepo nembo na maandishi mengineyo.suala la nembo na rangi zake FIFA zimetoa option ya kukaa na vilabu na kujadili kama suala linatatulika lakin sio ubabe wa TFF.Mi naomba kueleweshwa; hivi jezi ni nyekundu au nembo ndo nyekundu?
Naomba kuwaelewesha Yanga kwamba nembo ya mdhamini siyo sehemu ya jezi.
Timu inapotambulisha jezi zake kinachioneshwa ni rangi za timu na nembo ya timu hivyo kinachobandikwa baada ya hapo ni matangazo tu na siyo sehemu ya jezi.
Timu lazima zicomply na maelekezo ya TFF vinginevyo......
AmenNa asiyependezwa na tamko la uongozi aende huko atakako atuachie Yanga yetu ya kijani na njano + nyeusi inapobidi
KabisaBora timu ivunjwe na tugawane hadi soksi za wachezaji lakini siyo kutuvesha vialama vyenye virangi tusivyovielewa
Mimi bana niwe tofauti na wengine,Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umesema hautaweza kuvaa jezi yenye nembo nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom
Mwakalebela amefunguka kwa kusema kuwa hawataweza kuvaa jezi hizo kwani hawana utamaduni wa kuvaa rangi nyekundu ila huvaa rangi ya kijani na njano pamoja na nyeusi
Ameeleza kuwa uwepo wa hali mbaya kiuchumi katika klabu yao isiwe ndio sababu ya kuwafanya wageuke kanuni, taratibu na Katiba ya klabu yao kwani ni jambo ambalo haliwezekani
Aidha, Makamu huyo ameliomba Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kupitia Rais wake, Wallace Karia wazungumze na Kampuni ya simu ya Vodacom ili kubadili rangi ya nembo hiyo ndipo wanaweza kuvaa
*******
This is only in Africa
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Ndugu Mwakalabela ametoa taarifa rasmi ya Yanga kukataa kitumia jezi yenye nembo nyekundu ya mdhamini.
Awali Yanga walionyesha kutokuwa tayari kuvaa jezi yenye nembo nyekundu toka kwa kampuni ya Vodacom ambaye ni mdhamini mkuu wa VPL
Mwaka amesema Yanga iko kwenye hali mbaya kifedha lakini hawako tayari kwenda kinyume na katiba.
Sijaona tatizo hapo Mtani ikiwa Mwakalebela anazo hoja za msingi.Shadeeya mnakwama wapi aiseeView attachment 1200286
Wewe Mikia FC tulia.Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umesema hautaweza kuvaa jezi yenye nembo nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Vodacom