OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nadhani ni muuendelezo wa fake news Tanzania yaani tuweze kutoa 10 mil kila mechi tushindwe vimshahara vyao hao ....rubbishHabari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.
Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.
Huruma
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.
Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.
Huruma
Nadhani ni muuendelezo wa fake news Tanzania yaani tuweze kutoa 10 mil kila mechi tushindwe vimshahara vyao hao ....rubbish
Mtani huruma hiyo vipi. ππ
Milioni kumi ni ahadi inaweza itoke au isitoke. Na msipopata ushindi mwarabu anafurahia moyoni pesa yake imeponaNadhani ni muuendelezo wa fake news Tanzania yaani tuweze kutoa 10 mil kila mechi tushindwe vimshahara vyao hao ....rubbish
Mmewekeza kutoa million kumi kila mechi? Nyie akina nani? Ile hela ni motisha kwa timu nzima kila ikishinda mechi..na sio kila mechi..Pia ile hela inatolewa na wadhamini (GSM) sio Yanga kama klabu...Nadhani ni muuendelezo wa fake news Tanzania yaani tuweze kutoa 10 mil kila mechi tushindwe vimshahara vyao hao ....rubbish
Sasa kwanini wanamikimbia kabla ya tarehe 4, hawajamitendea haki kabisaMtani huruma hiyo vipi. [emoji41][emoji41]
Aahhhghh. Nimekosa cha kuandika Mtani.Sasa kwanini wanamikimbia kabla ya tarehe 4, hawajamitendea haki kabisa
Masikini Shadeeya
Nimeona nifanye hivyo ili hasira usije ukazimalizia kwa wifi yako bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora mdogo wangu. [emoji120][emoji120]
Sawa karibu sana sana Bunju Complex.Aahhhghh. Nimekosa cha kuandika Mtani.
Nasubiri taarifa za uhakika kutoka kwa uongozi. [emoji41][emoji41][emoji41] [emoji2210][emoji2210][emoji2210]