Yanga yakimbiwa na wachezaji,Sidney na Moringa waomba kuvunja mikataba

Simba Sports Club is a Tanzanian football club based in Msimbazi ... When it was founded in 1936, the Club was called Queens, it was later changed to Eagles and Dar Sunderland,..historia nzuri sana
🤣🤣
 
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.

Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.

Huruma
Hiv kocha wenu kafukuzwa kwa kosa gani?
 
Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.

Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.

Huruma

Hayo ndiyo madhara ya kukatisha mkataba na Zahera...huyo mkongo bado ana contacts na wachezaji wa Yanga ...anawasiliana nao na bila shaka amewaambia wafanye hivyo ili kuikommoa Yanga...Ukifanya jambo kubwa kama kukatisha mkataba wa kocha ni lazima uwe umejipanga vizuri kwa kufanya tathimini kuhusu madhara na kuweka mikakati ya kupangua madhara hayo...Uongozi wa Yanga ulipaswa ulifahamu hilo na kujipanga tayari kwa mapigo...Zahera alirejea Dar kufanya hilo kuwashawishi wachezaji waachane na klabu ili kuitikisa klabu ...Miaka ya 70 kocha Tambwe Leya naye wa DRC aliibomoa Yanga kwa kuwafukuza wachezaji wanne na kuleta mgogoro mkubwa ulioigawa Yanga na kuzaa Pan Africa....Uongozi wa sasa wa Yanga ulipaswa uwe umejipanga vilivyo kwa kuhakikisha wachezaji hawarubuniwi na Zahera...Pamoja na hayo binafsi namhurumia mno Zahera kwani kama bado TZ usalama wake uko shakani...nashauri polisi walione hili na kumpa ulinzi Zahera ili aondoke salama...Madhara kwa zahera itakuwa ni jambo baya pia kwa klabu ya Yanga...Viongozi wa Yanga lazima wawe makini na suala hili kwani siyo dogo kama wanavyoweza kufikiri au kudhani ...Wajipange na wawe proactive na siyo kukaa na kusubiri tu...
 
Sasa hao wachezaji wanapomsikiliza Zahera watakula wapi maana si watakuwa jobless,au. Fafanua mkuu
 
Zahera tayari atakuwa amewatafutia timu kama alivyofanya kwa makambo...Ninachoshangaa mimi ni kwa uongozi wa Yanga kutojipanga kwa suala kama hili...nina shaka kama kweli viongozi wa Yanga wana ushirikiano au kila mtu na lake ...kuongoza Yanga na Simba siyo mchezo...you have to sacrifice a lot of things...And, you should have an ear to the ground...Pia ni lazima uwe na mikakati ya kimafia vile ...mpira wa Tanzania unachezwa na kuongozwa nje ya uwanja kwa asilimia kubwa...Hofu yangu ni kuwa wengi wa viongozi wako pale kwa lengo la kupata sifa, na wakiwa nje ya uongozi walidhani kuongoza klabu hizi za Simba na Yanga ni jambo rahisi...... Ndiyo maana mara kwa mara utawsikia kwenye vyombo wakiropoka hili na lile...hata kule Simba kwa wakati huu wanaoifanya Simba angalau ifanye vizuri siyo wale waropokaji wa kwenye media...wako wachache ndani ya Simba ammbao wala hawafahamiki na media lakini ndio wanaofanya kazi....
 
Back
Top Bottom