Yanga yakung'utwa 2-1 huu ni mwanzo tu

Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
Ni maneno ya mkosaji tu.
Wameumia sana kufungwa na Zanaco.
Zaidi kufungwa na mchezaji hatari sana. KAPUMBU.
 
Na aliyewaliza goli la pili anaitwaje vile?
 
Babra una kazi kweli kweli na hivi mpira hujuhi
 
Kuna mtu anaitwa Kapumbu kawapumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bangala Litombo unamjua vizuri? Aliwakosakosa Zanaco kwa bonge la goli la kichwa,anakusubiri wewe Simba Tarehe 25/9 kwenye ngao ya jamii.Hatari siku hiyo yani Nyama pori italiwa na kutafunwa mpaka mifupa kwa kachumbari na pilipili.Hatutasikia tena kelele zenu msimu mzimu mzima,Jiandaeni kisaikolojia Yanga msimu huu ana kikosi kizuri kweli kweli kila idara imekamilika.Hatubishani wala kulazimishana kuelewa kwa sababu tunatofautiana uelewa Tusubiri mechi ya ufunguzi na ligi kuanza majibu mtayata.Tutarudi hapa jamvini kuulizana nani bora zaidi ya mwenzake.Stay tuned
 
mechi inayofuata wanakutana na wanaume wanageria...kabla ya kukutana na watu wanoujua nini wanatakiwa kufanya uwanjani yaani wazee wa Morrocco (Ngao ya hisani) kama vile namuona Manara akiumaliza vibaya mwezi wa tisa (9)
Baada ya hapo tunakutana na mke wetu wa kila siku tutamtafuna tafuna mpaka mifupa na hatutawaona tena humu mitandaoni kuleta umbea wenu ndiyo mwisho .Mjiandae kisaikolojia manake kelele zenu ndiyo mwisho wake Eti Wawa,Onyango,Boko,Mkude,Tshsabalala,Mugalu,Lwanga,Gadiel ,Mzamiru,Chikwende,Kagere na hao warembo walionunuliwa n.k hahahahaha mjiandae kisaikolojia.Tunamfurusha mnigeria tunakutana na Simba ngao ya hisani patamu hapo tafuna Nyama pori na mifupa yake huku pembeni kukiwa na kachumbari na pilipili
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
sasa ulitaka walie
 

Tunaongelea Kapumbu aliyewatungua,sasa huyo aliyekosa si angechomeka kama kweli ni mwanaume.Hapa mwanaume wa shoka ni Kapumbu tu.

Wakati tunaelekea kwa hiyo mechi ya ufunguzi,Rivers watakuwa wameshafanya yao na mtakuwa nnje ya CL.Tabu iko pale pale.
 
Na bado,ngao ya hisani tutawapiga si chini ya goli nne vibwengo f.c.
 
Byuti byuti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…