Yanga yala kiporo bila mboga, pointi 59 saafi, sasa yawapigia hesabu Waarabu

Yanga yala kiporo bila mboga, pointi 59 saafi, sasa yawapigia hesabu Waarabu

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
YangaMtibwa.jpg

YANGA imekula ‘kiporo’ kwa tonge moja tu, tena bila mboga. Imeichapa Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mechi yake hiyo ya kiporo cha Ligi Kuu na kufanikiwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 24 sawa na mahasimu wao Simba na matajiri wa Bongo, Azam FC.

Simba, ambayo inaikaribisha Toto African kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ina pointi 57 wakati Azam inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 55 na haichezi mpaka Aprili 27.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Yanga pointi 59 saafi, yawapigia hesabu Waarabu | Fikra Pevu
 
TFF inajihusisha na upangaji wa matokeo, ili yanga itwae ubingwa
 
naanza kuamini maneno ya msemaji wa simba
 
Back
Top Bottom