Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mfa maji .......TFF inajihusisha na upangaji wa matokeo, ili yanga itwae ubingwa
Naona mmerudi kileleniSimba tunatudi kileleni kesho
Naona mmerudi kileleni
Pole ndugu yangu njoo jangwani kuna magonjwa mengine yanaepukika.Ni kabila tu huwezi kubadili.Simba tunatudi kileleni kesho
Vipi mmesharudi?Simba tunatudi kileleni kesho
TutarudiVipi mmesharudi?
Nitakuja labda msimu ujaoPole ndugu yangu njoo jangwani kuna magonjwa mengine yanaepukika.Ni kabila tu huwezi kubadili.
Karibu sana pia na kuleee penye gobore pia utokeNitakuja labda msimu ujao
haraka ya nini tulia uandike vizuri au TUNATUDI ni jina la mchezaji?Simba tunatudi kileleni kesho
Hahahaah kule kwenye gobore sitoki, Yule Mzee anaondolewa muda si mrefu Na mambo yatakaa vizuri.Karibu sana pia na kuleee penye gobore pia utoke
Hahaah. Haya.haraka ya nini tulia uandike vizuri au TUNATUDI ni jina la mchezaji?
swissme
Sawa kila la kheri ila ukiona na huko mambo magumu karibu kwetu.Hahahaah kule kwenye gobore sitoki, Yule Mzee anaondolewa muda si mrefu Na mambo yatakaa vizuri.