Yanga yalia na TFF yataka iwasaidie hali yao ngumu kifedha

Vyuraàaaaaaa!! Nafwazi, [emoji196] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Tff kuanzia Mwenyekiti, katibu, makamu na wajumbe wamejaa bi hindu fc ndiyo maana wanaihujumu Yanga
 
Mbinu pekee ya kuiondoa Yanga kwenye utamaduni wake wa kubeba NDOO kila msimu ni kwa kuihujumu kiuchumi. Natabiri kuwa haya yataendelea hadi dirisha la usajili litakapofungwa ili kuhakikisha Yanga inakimbiwa na wachezaji.
Siyo kweli, kwani TFF ndiyo iliyomuondoa Manji? Kipato cha Yanga kilimtegemea mtu badala ya mipango ya Klabu. Klabu zetu zimejaa utoto wa kila aina, tabia ya kutegemea mtu zina gharama zake
 
Umeisoma ukaielewa lkn mbona naona katoa ufafanuzi kuna hela wanasema wanadai sasa hizo club zingine nazo zinaidai TFF?
Nimeielewa sana, wanazungumzia milioi 200 walizokatwa kipindi waliporuhusu mashabiki waingie bure, kama hawakutaka wakatwe kwanini waliruhusu waingie bure?

Yaani makosa yao ya kuruhusu watu leo hii wanaona uchungu? Next time wajifunze
 
Kweli yanga saiv inapita kwenye tanuru la moto kila wanapojitahidi kusimama anashushwa, ila tff yenyewe saiv ipo ki simba simba
 
Tff kuanzia Mwenyekiti, katibu, makamu na wajumbe wamejaa bi hindu fc ndiyo maana wanaihujumu Yanga
Kwa hivyo TFF ndo wamemtoa Manji na Malinzi? Yaani njaa yenu ndo hujuma siyo.. Kama ni mtanzamo wako ni huo basi hamna noma.

[emoji196] [emoji196] [emoji196] Toka kuigiza watu bure hadi kuwa ombaomba lialia.. Maisha bhana
 
Jibu hoja nimekwambia tff wamejaa maandamano fc malinzi hausiki hapo
 
Kweli yanga saiv inapita kwenye tanuru la moto kila wanapojitahidi kusimama anashushwa, ila tff yenyewe saiv ipo ki simba simba
Nyie ndo ambao mnaleta porojo! Juzi hapa Singinda united wameingiza watu bure, ko nao waje waseme wasikatwe gharama za mchezo ili iweje?
Mkiingiza watu bure lipieni basi gharama za mchezo
 
Jibu hoja nimekwambia tff wamejaa maandamano fc malinzi hausiki hapo
Nimekujibu kuwa kama ni mtanzamo wako ni huo basi hamna noma..! Lakini nafasi ya juu ya Rais TFF, Wallace hajawahi kuongoza Simba SC ila Malinzi alikuwa bosi Vyura FC

Hapo utachanganua TFF ipi ilikuwa imeegemea timu fulani
 
Siyo kweli, kwani TFF ndiyo iliyomuondoa Manji? Kipato cha Yanga kilimtegemea mtu badala ya mipango ya Klabu. Klabu zetu zimejaa utoto wa kila aina, tabia ya kutegemea mtu zina gharama zake
Fedha za Yanga zinazotoka CAF nazo zimeenda na Manji
 
Manji kapotelea wapi jamani? Hizi kelele za vyura ni balaaa
 
Toka afike amecheza mechi tatu zote kafungwa.
 
Kama karia anazunguka kutazama mechi za simba atashindwaje kuihujumu Yanga
Karia- Simba
Kamati tendaji TFF wajumbe watatu simba
Kamati Ya nidhamu simba
Kilichobaki Tff n kuweka bendera ya SIMBA tu
Haiwezekani timu imetoka kucheza mechi ya kimataifa haina hata mapumziko inaingia kwenye mechi nyingine hizi n hujuma za waziwazi
 
Tumpe muda mkuuu hasa ukizingatia wachezaji wandamizi wote hawapo klabuni.
 
Wana vituko, TFF iwasaidie kwani yenyewe ni Team ya Taifa? Kama hawana hela wakacheze ndondo Cup huko!!

Simba haikua na hela ilisaidiwa na nani? Kama msaada wapewe team zote zinazoshiriki ligi kuu!!
Ilipewa pesa na serikali iende misri huku timu ya taifa ikinda Zambia kwa basi na posho za wachezaji watimu ya taifa zilisubiri wa akina pawasa ndiyo wawapelekee.
 
Kutesa kwa zamu hata nyinyi wakati wa malinzi mlitesa sana!!

Nikukumbushe tu kuwa Bashite na Sizonje nao ni wapenzi wa Simba, so utaumia sana mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakutania mtani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…